Msaada kuhusu kujiunga na T. I. A

Kuna mdogo wangu amepata C moja na D moja Je! Anaweza kujiunga na T.I.A
Haiwezekani hata kwa bahati mbaya ili aweze kujiunga anatakiwa atleast awe na Four passes,kwa mfano X kapata Math-A,Chemistry-A na F masomo mengine alafu Y kapata Mathe-D,Chemistry-D,Geography-D na History D uyo Y anaqualify kujiunga na TIA ila X haqualify though X atakuwa kapata pasmark nzuri.........ukihitaji msaada ni pm
 
Kumbe hzo pass zinakuwa zinalimit ya masomo?
 
Haiwezekani hata kwa bahati mbaya ili aweze kujiunga anatakiwa atleast awe na Four passes,kwa mfano X kapata Math-A,Chemistry-A na F masomo mengine alafu Y kapata Mathe-D,Chemistry-D,Geography-D na History D uyo Y anaqualify kujiunga na TIA ila X haqualify though X atakuwa kapata pasmark nzuri.........ukihitaji msaada ni pm
hapo inategemea na elimu atakayosoma....maana kuna cheti,diploma na degree......kua makini mkuu
 
Sawa niwe makin na nin kijana??yeye kasema mdogo wake kamaliza Form IV na kapata qualification izo kwa iyo Obvious hitaji lake ni kujiunga na Certificate/Astashahada......
Ingekua anataka kujiunga na Diploma/Stashahada alitakiwa awe kwanza na Certificate ya related subjects...na angehitaji Degree/Shahada bas angetakiwa awe na Diploma of related subject with minimum Lower 2nd ili aweze kujiunga na Degree

Kuwa makini weweee kijana na sio mimi
 
NAONA MKUU UNATAKA KUANZISHA LIGI YA SIMBA NA YANGA....ILA KWA HARAKAHARAKA UMESHANIELEWA....!
 
Kuna mdogo wangu amepata C moja na D moja Je! Anaweza kujiunga na T.I.A
Kama Masomo mengine yote kapata F, Basi hawezi kujiunga TIA. Chuo kinahitaji watu waliofaulu kwa kupata at least D nne katika masomo yeyote. Yaani awe amepass kwa kuanzia D nne kuendelea mbele. Vinginevyo sijajua.
 
HUYU KIJANA HAKU SPECIFY KUA NI FORM SIX AU FORM IV.....YAWEZAKUA ALIKUA KAMALIZA FORM VI NYIE MNAJIBU BILA KUULIA VYEMA
 
HUYU KIJANA HAKU SPECIFY KUA NI FORM SIX AU FORM IV.....YAWEZAKUA ALIKUA KAMALIZA FORM VI NYIE MNAJIBU BILA KUULIA VYEMA
Kuna mdogo wangu amepata C moja na D moja Je! Anaweza kujiunga na T.I.A
Nin ambacho ajaspecify apo?Ingekua kamaliza Form six angeuliza ivyo?wakati Form six ukipata alama izo unajiunga kabisa na Degree/Shahada tena Shahada nzuri tu.......labda kwa izi passmark zenu za siku izi
rafik angu nilimaliza nae Form six Kapata alama izo na alifanikiwa kujiunga na chuo kikuu Dodoma Shahada ya Uchumi na Takwimu(BAEST)
 
Back
Top Bottom