Joining Instructions Kidato cha Tano 2015, malipo na mahitaji ya shule

Joining Instructions Kidato cha Tano 2015, malipo na mahitaji ya shule

Jolebatawi

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2011
Posts
549
Reaction score
230
Kutokana na tatizo linalowakumba wanafunzi wengi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano (tatizo la kupata joining instructions), kwa kushirikiana na mkuu wa shule ya sekondari Mwendakulima ameamua kuniruhusu kupost joining ya shule ya sekondari Mwendakulima iliyopo halmashauri ya mji wa Kahama ili kuwarahisishia wanafunzi waliopangiwa kwenye shule yake na walioko maeneo ya mbali na shule.

Pia mada hii itakua rasmi kuweka fomu za kujiunga na shule mbalimbali nchini ama taarifa zilizopo kwenye fomu husika kama muhusika akishindwa kuiweka hapa kuwasaidia wanafunzi hasa walio mbali kujua gharama zote mpaka wanajiunga na vitu vitavyohitajika ili wafanye maandalizi wakati wanatoka nyumbani na kujua mapema wanaenda kukutana na nini mashuleni.

Karibuni

=====

BENJAMIN MKAPA JOINING INSTRUCTIONS

View attachment 266225


View attachment 266226
 
Anyway nakumbuka Tabora Boys ni sasa hivi nenda na Ada 70000, pesa ya suruali wanashona shuleni( khaki) pesa ya shuka, shati ya mikono mifupi, ndoo, bei nahisi zimebadilika jiandae hata 100,000/ ikibidi, pia kuna Tabora girls pembeni usisahau perfume na pasi unyooshe vzur utaondoka na Mke mda wa discussion nao kwani huja bila daftari ha haaaaaa

Usisahau sahani na bakuli kubwa la uji, sabuni zako usije ugua fangus kwa kushare, pia jezi ya michezo, n.k
Haya ni baadhi tu ninayoyakumbuka enzi yangu
 
Kutokana na tatizo linalowakumba wanafunzi wengi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano (tatizo la kupata joining instructions), kwa kushirikiana na mkuu wa shule ya sekondari Mwendakulima ameamua kuniruhusu kupost joining ya shule ya sekondari Mwendakulima iliyopo halmashauri ya mji wa kahama ili kuwarahisishia wanafunzi waliopangiwa kwenye shule yake na walioko maeneo ya mbali na shule. Mawasiliano kupitia namba za simu za mkuu wa shule pia zipo. KAZI KWENU, NA KARIBUNI SANA MLIOPANGIWA MWENDAKULIMA SEKONDARI.


Kula like mkuu,hongera sana...Humu kuna walimu wengi tu,tena wengine wakuu,sijui wanafikiria nini kuziweka hizo joining humu

Kiukweli njia ya posta ni ndefu na yawezekana hadi unaondoka inakuwa bado haijafika

Wenye wanazo za shule nyingine waziweke humu

NB:Ninahisi wakuu wanaogopa watu wataanza kuhoji vile vipesa vya ajabu ajabu wanavyoviwekaga,mara jembe,mfagio etc
 
Please! Kwa yoyote mwenye joining instruction ya MZUMBE HIGH SCHOOL tuwasiliane 0763418994 au anitumie kwenye email ya Wervehudson@gmail.com
 
Joining Instruction Form ya Songe Secondary anisaidie kama anaweza anipe Contact za Shule
 
Jaman mwenye mawasiliano ya muhusika yeyote wa VWAWA SEC anisaidie. Au kama kuna mtu anaweza kunisaidia kupata joining instruction ya hapo pia anisaidie
 
Jaman mwenye mawasiliano ya muhusika yeyote wa VWAWA SEC anisaidie. Au kama kuna mtu anaweza kunisaidia kupata joining instruction ya hapo pia anisaidie
0713278404 ni mkuu msaidizi
 
yeyote anaeweza niwezesha kupata joining instructions za kantalamba high school ipo sumbawanga na tumaini secondary school ipo singida nina madogo wangu wamechaguliwa!

Hata Mm Nmepangiwa Hukohuko Kantalamba Pia Nahtaj Kujulishwa
 
Back
Top Bottom