noel oga
JF-Expert Member
- Oct 20, 2015
- 271
- 219
Ndugu zangu kwa hizi tetesi ninazozisikia ya kuwa div one na two form six wa mwaka huu ndio wataochaguliwa kwenda elimu juu.
Hivyo endapo jambo hili litafanyika basi form six wa miaka ya nyuma 2010-2013 waliopata div three ambao walikuw wakidahiliwa hawatapata nafasi ya kuchaguliw kwa kuwa kuna mfumo mpya.
Hebu wataalamu tujuzane kama hawa form six wa miaka ya nyuma kutokana na sababu mbalmbal hawakuomba vyuo na watahitaj kuomba mwaka huu.
Je hili fagio litawafagia? Ahsanteni