Je National ID ni lazima katika kujaza fomu ya maombi ya mkopo?

Ototo

JF-Expert Member
Jun 26, 2016
1,234
1,135
Kwenye kujisajili ili uweze kuomba mkopo Kuna sehemu ya national ID number vipi kama nikijaza namba ya cheti cha kuzaliwa itakua sawa au mpaka nipate national ID chenyewe
 
wewe tumia kimojawapo kati vilivyoorodheshwa... sawa kijana!
 
Hiyo hakuna labda kidhungu kinasambua. Walichoomba ni national birth certificate number. Na no ya id ya mdhnamin wako. Hawawezi omba national I'd yako coz si wote wana ID za nida.
 
Mkuu kidhungu cha kuombea maji hicho ndo kinishinde nishindwe kutofautisha national birth certificate na national id
 
Kwenye kujisajili ili uweze kuomba mkopo Kuna sehemu ya national ID number vipi kama nikijaza namba ya cheti cha kuzaliwa itakua sawa au mpaka nipate national ID chenyewe
Kijana National ID ukijaza form leo utasubiria mwakani February....................;);)
 
Back
Top Bottom