Johnny_jexy
Member
- Jun 12, 2016
- 22
- 0
Faculty ipi IPO vizuri kati ya hizo mbili kwa upande wa ajira/soko?
Lipo sawa mr.... Inatolewa pale SUA , inaitwa agro economics and agro businessKwanza nadhani unazungumzia degree program na sio faculty, na pili hiyo AGRO ECONOMICS Sijui ndio kozi gani, hebu tafiti zaidi hilo jina ndipo tuanze mjadala.
Asante.
Asante mkuuAgriculutural Economy na Land Management & Valuation yenye mashiko zaidi ni Land Management & Valuation
Kiajira ni afisa Ardhi nk wakati hiyo nyingine ni Bwanashamba nk
Thank u dadaLand management and valuation ndo iko marketable
Asante mkuu
Lipo sawa mr.... Inatolewa pale SUA , inaitwa agro economics and agro business
Nakuunga mkono. Basi naongezea ushauri waache kukimbia masomo ya sanyansi ili waende kutafuta taaluma katika vyuo vya mifugo na kilimo maana ndo havihitaji mtaji mkubwa wa kuanzia ila weledi ndo muhimu.Kumekua na katabia ka vijana KUSOMEA KAZI badala ya kusoma TAALUMA/UTAALAM au FANI, mfano badala kusoma shahada ya usimamizi wa biashara (business administration) mtu anaweka akilini kwamba anasomea UAFISA BIASHARA.
Hii ni mbaya sana na ndio maana kila siku tunaulizana soko la Ajira soko la ajira, hakuna anayetaka kujisumbua kufikiri nje ya boksi kuhusu kujiajiri.
Ukihamasisha kujiajiri wanakuja na EXCUSE OF THE CENTURY ati "tatizo mtaji", kama una nia unaanza hata kidogo kidogo.
Nitoe rai kwa vijana wenzangu tusome taaluma/utaalam na tuwe mahiri ili kuweza kukabiliana na hii dunia ya ushindani. Ufike wakati sasa, elimu itengeneze matajiri na sio waomba kazi pekee.
Ni mtazamo tu.
Mentality ya watu haijabadilika but the system will change them. Wao bado wanaota ndoto za "go to school, get good grades, you will get a good and secure job".Kumekua na katabia ka vijana KUSOMEA KAZI badala ya kusoma TAALUMA/UTAALAM au FANI, mfano badala kusoma shahada ya usimamizi wa biashara (business administration) mtu anaweka akilini kwamba anasomea UAFISA BIASHARA.