miss confidence
JF-Expert Member
- Jul 9, 2016
- 393
- 273
Jaman naomba mnijulishe kwa sisi tulomaliza form six mwaka huu tunafanyeje izo application coz wamesema tuambatishe Na certificate ya form Six sasa sisi tulomaliza mwaka huu form six tunaambatanisha nini coz hata matokeo yetu bado Na deadline ni mwez huu mwishoni.