Sawa ila niko mbali sana na dar,nipo karatu jamaa yangu dar ni mbali sana.
mkuu kama sio nakosea sory ila najua kuanzia degree, masters na phd unafanya application zote tcu? embu nisahihishe hapohongera G.P.A yako nzuri nenda kwenye centre za open kapply direct gharama elfu thelasini tu