Link husika ni hii: OLAMSJamani nimejaribu kuingia katika website yao lakini sijaona sehemu ya kuanzia kuapply mkopo. Kwa wale wazoefu naombeni msaada nianzie wapi
Wahusika waunganishe na hii thread.Kuna Uzi huh pia utakusaidia kukutanisha na wenzako ambao
Wanaomba mkopo. Watakusaidia.
HESLB yatangaza kupokea maombi 2016/2017