lujuozxon
Member
- Jan 12, 2014
- 9
- 4
Habarini wadau, namtafutia mdogo wangu wa kiume shule nzuri ya dini (Seminary) ya secondary (O-LEVEL), kati ya mkoa wa morogoro, kibaha au bagamoyo. Yenye maadili mazuri na pia mazingira ya kujisomea yawe mazuri pia. Tusaidiane waungwana pia ni vizuri zaidi kama utakua na details zote muhimu kama ada, e.t.c