Google first please. Be careful with your search wordsHabari wakuu wangu!.Kuna anefahamu chuo kinachotoa kozi ya Master ya Research,monitoring and evaluation kwa hapa Tanzania,Kenya au Uganda.Kama Kuna mtu anafaham anifahamishe tafadhali.
Mzumbe kuna master ya health monitoring and evaluationHabari wakuu wangu!.Kuna anefahamu chuo kinachotoa kozi ya Master ya Research,monitoring and evaluation kwa hapa Tanzania,Kenya au Uganda.Kama Kuna mtu anafaham anifahamishe tafadhali.