Kwa anaehitaji mwalimu kwa masomo ya ziada (Tuition)

Jokia

Member
Feb 18, 2015
95
183
Mzazi au mlezi anaehitaji mwalimu wa kumfundisha mwanae muda wa ziada anitafute. Nafundisha masomo karibu yote kwa wanafunzi wa kidato cha pili kushuka chini.
Kidato cha tatu na nne nafundisha Geography na Basic Mathematics. Kwa A level nafundisha Economics na Geography.
Elimu yangu ni Bachelor Degree. Nipo Dar es Salaam.
Sijaajiriwa ajira rasmi kwa hiyo napatikana muda wowote.
Anaehitaji tuwasiliane. 0674335832
 
na mimi pia nipo available kwa physcs, geography na mathematics pm plz
 
Back
Top Bottom