msaada

mandojo

Member
Jul 2, 2016
41
5
hist d, Chem f, English c, bios c, math f,kiswahil c, civcs c, geography c, phsic f. please naomb kujua hiyo no dv ngap wada??
 
Masomo yanayotumika huwa ni saba tu, tena wanachukua yale ambayo umefaulu sana ikiwa umesoma zaidi ya saba.
A-1
B-2
C-3
D-4
F-5.

Sasa hapo una c 5*3=15
Jumlisha D =4
Jumlisha F=5
JUMLA UNAPATA 24
 
Masomo yanayotumika huwa ni saba tu, tena wanachukua yale ambayo umefaulu sana ikiwa umesoma zaidi ya saba.
A-1
B-2
C-3
D-4
F-5.

Sasa hapo una c 5*3=15
Jumlisha D =4
Jumlisha F=5
JUMLA UNAPATA 24
much thanks fred , SAS nmeelewa
 
Back
Top Bottom