Suip
JF-Expert Member
- Sep 21, 2010
- 1,338
- 803
Natumaini kati tarehe 7-10/6 /2016 vijana waliomaliza kidato cha sita wasiopungua 15000 walijiunga na jeshi la kujenga taifa kwa mujibu wa sheria kwa muda wa miezi 3,vijana hao wengi wao kama sio wote wanategemea kujiunga na vyuo vya elimu ya juu hapo October2016 na hivi sasa wanatakiwa kuomba mikopo kwa ajili ya kujiunga na vyuo vikuu na mwisho wa kutuma maombi ni tar 31/7/2016, Nini kauli yenu kuhusu hao vijana kuruhusiwa kwa muda kujaza fomu za mikopo?