Bachelor degree of logistics and transport.

Hannat15

Member
Jul 6, 2016
33
16
Kwa anaeifahamu course hii kwa Tanzania soko la ajira lipo vipi na unafnya kaz maeneo gani?
 
Soko lipo kwa kiasi chake we uta deal na Transport Comapanies cku hiz matajir wamekuwa na uelewa wa Kuajiri wasomi tofaut na zaman jaribu kuomba kampuni za mafuta na Logistics Asas,Puma, Alistair,Dar es Salaam Corridor Group
 
Ok je unaposoma course hii Tanzania ukienda nje ya Tanzania unapata ajira?
 
Logistics and transport management ina tofaut gan na logistics and procurement na ipi bora zaidi?
 
Zamani soko la kozi hiyo lilikuwa gumu sana lkn leo hii milango imefunguka kidogo.
Utapata kazi kwenye makampuni ya usafirishaji pamoja na kwenye migodi.
 
Back
Top Bottom