Msaada: Kujiunga Open University

venossah

JF-Expert Member
Apr 30, 2016
2,562
3,636
Habarini za jioni bandugu,ninaomba kufahamishwa mana ninataka kujiunga na open kwa kuanza na foundation coz,sasa je nikimaliza alaf nikajiunga na degree serikali itakubali kuja kuniajiri?na je nitakua sahihi kwa kumaliza foundation na kwenda degree moja kwa moja?.kwa sasa nina ka certificate kangu ka miaka 2
 
Foundation course imefutwa mdau ingia TCU kuangalia sifa za kujiunga CHUO kikuu
 
Back
Top Bottom