Nimefanya application ya Masters UDSM online. Nimefuata taratibu zote na nimefanikiwa kutuma maombi na kupata serial number (S/N). Lakini mpaka sasa kwenye application form inaonyesha kwenye REFEREE STATUS- Recommendation not submitted. Nimejaza emails za referees kwenye application kama walivyotaka. Referees hawajatumiwa emails ili wa recommend. Lakini kwenye form wanasema REMIND/INFORM THE REFEREE. Nimejaribu kuomba msaada kupitia HELP DESK ya chuo sikujibiwa. Nimetuma emails mara mbili kwenye email ya POSTGRADUATE STUDIES (admissiondpgs@udsm.ac.tz) lakini najibiwa delivery to recipient failed permenently. Kwa kuwa S/N yangu ina 3 FIGURES, bila shaka wengi tumeomba. Nomba kujua kama kuna mwenye tatizo kama langu na nini la kufanya. Pia nilishapiga simu iliopo kwenye CONTACT YA POSTGRADUATE lakini hakuna mabadiliko kwenye form yangu.
Msaada wenu wakuu.
Msaada wenu wakuu.