Matokeo yangu ni haya lakini bado sijapata shule


7ya

7ya

Member
Joined
Oct 10, 2015
Messages
45
Likes
0
Points
13
7ya

7ya

Member
Joined Oct 10, 2015
45 0 13
WanaJF

Mimi matokeo yangu (ya kidato cha nne) yako kama ifuatavyo;

Chemistry-b
Biology-b
English-b
History-d
Civics-d
Geography-c
Mathematics-c
Kiswahili-c

Halafu sijapata shule. Je, kuna uwezekano wa kutafuta shule ya serikali kwa jitihada zangu mwenyewe?

Kwa mwenye msaada please nisaidie kwani siwezi kwenda private sababu sina uwezo.
 
Black7

Black7

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2016
Messages
363
Likes
110
Points
60
Age
22
Black7

Black7

JF-Expert Member
Joined Jun 16, 2016
363 110 60
Haaa embu acha masihar bhas.. yan hujachaguliwa kwa viwango ivyo embu kuwa mkwel km izo sio maksi zako.
 
B

Baba yenu

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2016
Messages
1,057
Likes
1,397
Points
280
Age
4
B

Baba yenu

JF-Expert Member
Joined Jun 17, 2016
1,057 1,397 280
Haaa embu acha masihar bhas.. yan hujachaguliwa kwa viwango ivyo embu kuwa mkwel km izo sio maksi zako.
Anaweza kuwa anasema kweli maana hata mimi nina dogo namfaham ana Kisw C,Geog C na Eng B ila kaachwa
Dog kwa matokeo ayo wamekuachaje?au una miaka 36 ila watakuchukua second selection
 
7ya

7ya

Member
Joined
Oct 10, 2015
Messages
45
Likes
0
Points
13
7ya

7ya

Member
Joined Oct 10, 2015
45 0 13
Mimi nilichagua cbg na egm na swala la miaka mi Nina miaka 18 kwa sasa
 
7ya

7ya

Member
Joined
Oct 10, 2015
Messages
45
Likes
0
Points
13
7ya

7ya

Member
Joined Oct 10, 2015
45 0 13
ndg zangu cjatoa thread kwa masihara naongea ukweli hivyo kama kuna namna yoyote mnisaidie tafadhali
 
Maarko

Maarko

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Messages
1,063
Likes
245
Points
160
Maarko

Maarko

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2011
1,063 245 160
Ni matokeo ya kidato cha ngapi mkuu?
 
Hussein Melkiory

Hussein Melkiory

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2016
Messages
7,064
Likes
8,681
Points
280
Hussein Melkiory

Hussein Melkiory

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2016
7,064 8,681 280
Dogo usijali lazima utapata shule kuna kijana mtaani ana matokeo kama hayo ameachwa
 
thesym

thesym

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2012
Messages
3,005
Likes
2,818
Points
280
thesym

thesym

JF-Expert Member
Joined Aug 15, 2012
3,005 2,818 280
Mbona naona kama division two hiyo, dogo kuwa serious basi.
 
David Harvey

David Harvey

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2014
Messages
1,764
Likes
1,443
Points
280
David Harvey

David Harvey

JF-Expert Member
Joined Jul 17, 2014
1,764 1,443 280
div 2:19 umeachwa? acha masihara wewe dogo
 
Econometrician

Econometrician

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2013
Messages
9,203
Likes
9,075
Points
280
Econometrician

Econometrician

JF-Expert Member
Joined Oct 25, 2013
9,203 9,075 280
Serikali mwendokasi inafanya makosa mengi sana inawezekana wamekusahau,sijui kama siku hizi bado kun a second selection
Ila kama una uhakika hayo matokea ni kweli na comb zili balance hebu jaribu kwenda necta pale mwenge uelezee yaweza kuwa kuna sababu zaidi ya www unazozifikilia
 
long live my love

long live my love

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2014
Messages
818
Likes
610
Points
180
long live my love

long live my love

JF-Expert Member
Joined Feb 23, 2014
818 610 180
Duuuu, mbona wamekuonea Sana. Lakini inawezekana, Kama majina ya madsee, dase, dedi tunakosea, sembuse selection.
 
7ya

7ya

Member
Joined
Oct 10, 2015
Messages
45
Likes
0
Points
13
7ya

7ya

Member
Joined Oct 10, 2015
45 0 13
Asante sana mkuu ngoja nijaribu huenda wao wana sababu ya kuniacha
 
Amon Mtekateka

Amon Mtekateka

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2014
Messages
1,240
Likes
314
Points
180
Amon Mtekateka

Amon Mtekateka

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2014
1,240 314 180
Huyu anatuzingua tu bhana
 
hassan mdidi

hassan mdidi

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2014
Messages
424
Likes
161
Points
60
hassan mdidi

hassan mdidi

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2014
424 161 60
necta kaz yao ni kuandaa, kuchapisha, kusimamia,kusahihisha na kutoa matokeo but hawausiki hata chembe juu ya suala la selection hiyo ni kaz ya TAMISEMI
 
kisu cha ngariba

kisu cha ngariba

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2016
Messages
22,201
Likes
47,981
Points
280
kisu cha ngariba

kisu cha ngariba

JF-Expert Member
Joined Jun 21, 2016
22,201 47,981 280
div 2:19 umeachwa? acha masihara wewe dogo
Wameachwa wengi sana na wengine wamepangiwa shule za ovyo. Dogo wangu kapangiwa shule ya kata uko Mbeya,shule yenyewe mahabara ni ya kuungaunga.
 
hassan mdidi

hassan mdidi

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2014
Messages
424
Likes
161
Points
60
hassan mdidi

hassan mdidi

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2014
424 161 60
necta kaz yao ni kuandaa, kuchapisha, kusimamia,kusahihisha mitihan, kutoa matokeo na kuandaa slip result pamoja na vyet but hawausiki hata chembe juu suala la selection hiyo ni kaz ya TAMISEMI
 
maramia

maramia

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2015
Messages
1,917
Likes
1,092
Points
280
maramia

maramia

JF-Expert Member
Joined Jul 17, 2015
1,917 1,092 280
WanaJF

Mimi matokeo yangu (ya kidato cha nne) yako kama ifuatavyo;

Chemistry-b
Biology-b
English-b
History-d
Civics-d
Geography-c
Mathematics-c
Kiswahili-c

Halafu sijapata shule. Je, kuna uwezekano wa kutafuta shule ya serikali kwa jitihada zangu mwenyewe?

Kwa mwenye msaada please nisaidie kwani siwezi kwenda private sababu sina uwezo.
Tuwekee namba yako ya mtihani tujiridhishe. Nikiipata kama ni kweli hukuchaguliwa kwa ufaulu huo ndani ya siku tano utapata majibu ni nini kimetokea na kama hakuna tatizo utaona posting yako mara moja.
Comb za CBG na EGM ulizochagua zimekubali.
 

Forum statistics

Threads 1,237,339
Members 475,533
Posts 29,285,219