Ushauri unahitajika hapa

Ndugu nataka kusoma diploma ya sheria vp ushauli wenu
Hushauriki.

Kwa sababu hauko specific ushauriwe nini kwa unachotaka kukisoma.

Ushauriwe jinsi ya kusoma,ushauriwe kupata chuo kizuri cha sheria? unataka ushauriwe nini.
 
Back
Top Bottom