Loan Board yamaliza uhakiki wa wanafunzi, jumla ya watu 2,739 hawakujitokeza

Hearten

Member
May 17, 2016
46
54
Bodi ya mikopo ya elimu ya juu inaendelea za zoezi la uhakiki wanafunzi wa elimu ya juu nchi nzima ambapo katika taasisi 26 zilizohakikiwa,taasisi 18 jumla ya wanafunzi 2,739 hawakujitokeza kuhakikiwa ikiwamo wanafunzi 763 wa chuo kikuu cha Dodoma.

ITV
 
Back
Top Bottom