Naomba kufahamu namba ya birth cirtificate

Hannat15

Member
Jul 6, 2016
33
16
Kuna namba upande wa kulia imeanzia Alphabet ipo juu pia kuna namba upande wa kushoto ipo chini ina slash je sahihi ndo ipi msaada tafadhal.
 
Juu kulia yenye Alphabet iliyokolezwa uweusi na kufuatiwa na numerali
 
Back
Top Bottom