Huyu ndiye mbaya wa UDOM? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huyu ndiye mbaya wa UDOM?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Baba Tina, Dec 27, 2010.

 1. B

  Baba Tina Senior Member

  #1
  Dec 27, 2010
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 131
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  PROF. SHABAN MLACHA wa idara ya kiswahili anaendelea kulalamikiwa kuwa ndiye chanzo kikuu cha migogoro katika chuo kikuu cha Dodoma. Prof huyo ambaye pia ndio naibu makamu mkuu wa chuo anayesimamia mipango, pesa na utawala anatajwa kua mtu mwenye kiburi, dharau na majivuno kiasi cha kusababisha walimu wengi chuoni hapo kukimbia na kuhamia katika vyuo vya UDSM, SUA, SUZA, DUCE, MUCE, SAUT, N.K. Idadi ya walimu waliokwisha hama chuoni haponi kubwa na imekua ikiongezeka kila kukicha. Amekua akibana pesa kupita kiasi na kusababisha assessment ya wanafunzi wanaofanya mafunzo kwa vitendo kutofanyika kwa ufanisi. Hata migomo ya wanafunzi inadaiwa kwa kiasi kikubwa kusababishwa na prof MLACHA ambaye inasemekana ana madaraka makubwa kuliko hata Vice Chancellor wa chuo hicho. Wapo wanaodai kua PROF MLACHA ni swahiba wa karibu sana na Mkuu wa KAYA na kwamba wameoa nyumba moja. Wadau wa UDOM Mnasemaje juu ya hili tunaomba maoni yenu.
   
 2. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #2
  Dec 27, 2010
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,610
  Likes Received: 3,913
  Trophy Points: 280
  asulubiwe asulubiwe!!
   
 3. Antonov 225

  Antonov 225 JF-Expert Member

  #3
  Dec 27, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 310
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Sishangai sana kwa UDOM, kwa maana hata kiongozi wa nchi yuko hivyo hivyo like father mchakachuaji like son mchakachuaji
   
 4. JOYCE PAUL

  JOYCE PAUL JF-Expert Member

  #4
  Dec 27, 2010
  Joined: Jan 8, 2010
  Messages: 1,007
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  wewe kwanza badili usemi wako...yaani walimu wakimbie UDOM waje udsm?hakuna kitu kama hicho na usahau...watu wanatoka udsm na GPA zao ndogo za kuchechemea ndo wanakimbilia udom kufundisha.POLE SANA WANAFUNZI WA UDOM CHUO KIKUBWA KULIKO VYOTE NCHINI TEH TEH SIJUI CHUO NI MAJENGO!!!!!
   
 5. JOYCE PAUL

  JOYCE PAUL JF-Expert Member

  #5
  Dec 27, 2010
  Joined: Jan 8, 2010
  Messages: 1,007
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  wewe uislama unaingiaje hapo sasa,,nyie ndo wachochezi mnaotafutwa na ccm msulubiwe
   
 6. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #6
  Dec 27, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  mwisho wa dunia unakaribiaaaaaaaaaaaaa
   
 7. MachoMakavu

  MachoMakavu JF-Expert Member

  #7
  Dec 27, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 370
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  That is so low..Sikutegemea hii kutoka kwako!!
   
 8. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #8
  Dec 27, 2010
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,797
  Likes Received: 1,339
  Trophy Points: 280
  Tatizo ni kuchanganya TAALUMA na SIASA.
   
 9. B

  Baba Tina Senior Member

  #9
  Dec 27, 2010
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 131
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  aliyekudanganya nani kwa taarifa zako vigezo vya kuajiri UDOM NA UDSM ni vilezile undergraduate lazima upate GPA ya 3.8 au zaidi na masters lazima upate GPA ya 4.0 au zaidi. Zaidi ya hapo kama ulikua hujui asilimia 80 ya walimu wa UDOM walikua wanafundisha UDSM kwa hiyo wanapoona UDOM hakueleweki wanaamua kurudi UDSM kama huamini nenda UDSM idara za sociology, Kiswahili kaulize wangapi wametoka UDOM. Nenda pia DUCE idara ya Political science, literature kaulize utaambiwa. hiyo ni mifano michache tu lakini walimu kibao wamehama kwenda UDSM na kwingineko. Na hata hao ma tutorial assistants asilimia zaidi ya 70 wamemaliza UDSM, wengine wamemaliz SUA na Mzumbe na wamepiga GPA kali tu. ACHA KUROPOKA BILA KUA NA DATA NAOMBA UNITAJIE MWALIMU MWENYE GPA YA KUCHECHEMEA UDOM.
   
 10. B

  Baba Tina Senior Member

  #10
  Dec 27, 2010
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 131
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  aliyekudanganya nani kwa taarifa zako vigezo vya kuajiri UDOM NA UDSM ni vilezile undergraduate lazima upate GPA ya 3.8 au zaidi na masters lazima upate GPA ya 4.0 au zaidi. Zaidi ya hapo kama ulikua hujui asilimia 80 ya walimu wa UDOM walikua wanafundisha UDSM kwa hiyo wanapoona UDOM hakueleweki wanaamua kurudi UDSM kama huamini nenda UDSM idara za sociology, Kiswahili kaulize wangapi wametoka UDOM. Nenda pia DUCE idara ya Political science, literature kaulize utaambiwa. hiyo ni mifano michache tu lakini walimu kibao wamehama kwenda UDSM na kwingineko. Na hata hao ma tutorial assistants asilimia zaidi ya 70 wamemaliza UDSM, wengine wamemaliz SUA na Mzumbe na wamepiga GPA kali tu. ACHA KUROPOKA BILA KUA NA DATA NAOMBA UNITAJIE MWALIMU MWENYE GPA YA KUCHECHEMEA UDOM.
   
 11. B

  BARKMEI Member

  #11
  Dec 27, 2010
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyo MLACHA tunamjua sana hapa UDSM alikuwa analeta uvulivuli hapa kwenye idara ya kiswahili (udsm) ikaja fursa akafanyiwa mchujo huko UDOM nilishangaa sana kusikia amekuwa makamu mkuu wa chuo kwa sababu nilijua mmekwisha.

  Rafiki yangu alikwenda kufanya TP kwenye shule yake KIRINJIKU kule MAKANYA akawatimua wanafunzi wote wa UDSM akasema watawafundisha wanafunzi wake kugoma!

  Waulizeni MKWAWA walimtumuaje PROF TUNGARAZA aliyekuwa makamu mkuu wa chuo huko sasa hivi anachezea CHAKI hapa mlimani kama kawa.
   
 12. W

  We can JF-Expert Member

  #12
  Dec 27, 2010
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 681
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Inamaana Prof.Mlacha si mtaalam wa uongozi? Na kama ndivyo, mkuu wa kaya kamzawadia? Kama ndivyo, basi UDOM kwiiiiiisha kabisa.
   
 13. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #13
  Dec 27, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Mkwere acha ushemeji ondoa hii takatk pale UDOM, irudi TUKI ikaboreshe kiswahili huko
  View attachment 19146
   
 14. S

  Sheka Senior Member

  #14
  Dec 27, 2010
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 114
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Huyu ni Prof. Wakiswahili hana kabisa element ya admistrator, hebu ona kwenye orientetion ya waajiriwa wapya anadhubutu kutishia kufanya kitu mbaya naukiamua kwenda popote iwe ni ikulu ataitwa na atakuacha wewe wanakushughuli yaana huyo bwana ana jeuri kwa sababu ya uswahiba wa kuoleana na JK. Nikweli kabi ame mu overpower kikula.
   
 15. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #15
  Dec 27, 2010
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  mbona thread mbili zote zina heading moja naomba ziungwanishwe ili mtiririko uwe mzuri
   
 16. Mponjoli

  Mponjoli JF-Expert Member

  #16
  Dec 27, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 668
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35

  Kaka nakubaliana na wewe, lakini kuondoka kwa walimu UDOM kunachangiwa na nini? Hilo ndo la muhimu. Pili wanakuwa replaced na watu gani? Maana UDOM imekuwa zoa zoa ya GPA za uongo na ukweli kutoka Kampala International University. Maana Kampala mtu ana Division 4 ya form four, Division four ya form six, anatoka na first class. Ukienda kuomba kazi UDOM wanaangalia GPA peke yake.
   
 17. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #17
  Dec 27, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,704
  Trophy Points: 280
  nyumba ipi? kwa kina Salma au ile nyingine?
   
 18. Mkwere Sumbawanga

  Mkwere Sumbawanga JF-Expert Member

  #18
  Jul 13, 2016
  Joined: Sep 28, 2015
  Messages: 650
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 80
  nasikia kuwa anaweza shtakiwa kweli huyo prof. coz had zuio la kusafiri limetolewa anayejua zaid atujuze
   
 19. a

  amos stima Member

  #19
  Jul 13, 2016
  Joined: Jul 10, 2016
  Messages: 63
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 25
  Huyo jamaa mda wake wa kuwa pale unakaribia ni matatizo ssna
   
 20. Student Teacher

  Student Teacher JF-Expert Member

  #20
  Jul 13, 2016
  Joined: Sep 25, 2014
  Messages: 1,047
  Likes Received: 696
  Trophy Points: 280
  Mkuu acha uongo
   
Loading...