Natafuta kazi ya kufundisha mathematics ( O-level and A-level)

jivinga

Member
Jun 23, 2016
17
5
Ndugu wana jf. Natafuta nafasi ya kazi ya kufundisha. Mimi ni mhitimu wa chuo kikuu katika degree ya ualimu katika masomo ya hesabu na jiographia. Nimekuwa nikifundisha secondary advance na nimefaulisha vizuri sana wanafunzi kwa idadi kubwa kwa mda mrefu. Ila maslahi pamoja na mazingira ya kazi yalikuwa si mazuri sana. Hivyo nimeamua kutafuta sehemu nyingine ambayo inaweza kuwa na maslahi mazuri zaidi. Ninauwezo wa kufundisha sekondary kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita na pia ninauwezo wakufundisha collage . Kwa maelezo zaid pamoja na cv zangu naomba tuwasiliane inbox au namba hii 0744704597.
 
very nice .....all the best in your career.
 
wewe unatafuta penye maslay wakati wensio wamemaliza tokea mwaka jana na wengine wamemaliza tena mwaka huu na no ajira hadi leo...tulia wewe utakosa kote
 
Back
Top Bottom