papatunde jr
Member
- Jun 30, 2016
- 56
- 33
nimemaliza kidato cha sita Azania Secondary mwaka huu nimekuja bukoba kutembea Na kusalimia ndugu kidogo nipo nshambya.nilikuwa napenda kupata marafiki wakupeana na mawazo ya hapa na pale na ya biashara pia
nimemaliza pcm aiseeUmemaliza comb gani
daahh afdhal ngoja nikutumie pmnipo kibeta nimemalza six as well
So Siwezi kukujua aunimemaliza pcm aisee