Kuna mtu amekosea kujaza jina la chuo alichosoma diploma inakuwaje hapo?Hajahainisha umekoseaje au umekosea wapi ..tutakupaje ushauri Dogo?
Lakini unakoseaje chuo ? Wakati ukiweka Reg no za chuo inaleta matokeo yake kutoka NACTE? ANYWAYS sjaelewa ..maana kwa chuo ni hivyoKuna mtu amekosea kujaza jina la chuo alichosoma diploma inakuwaje hapo?
Omba faster, mim mwaka jana niliomba mkopo Kwa kutumia provisional results za diploma maana nilikua sijamaliza chuo, nikapata mkopo.Kwa wanaomaliza diploma mwezi huu mwishoni,watakuwa na uwezekano wa kuomba mkopo