Course za degree anazoweza kusoma mwanafunzi wa HGL advance anapojiunga na degree

Elimu yetu bado inahitaji maboresho makubwa sana tu.hivi inakuwaje mhitimu wa kidato cha sita. Kushindwa Kujua future yake? Kwanini bhasi alichagua Elimu? Wakati hajui elimu hiyo itakupeleka wapi. Nikisema huyu mtu ni small minded nitakosea? Hapa inanikumbusha jinsi elimu za magharibi zilivyo kuwa structured vizuri. I didn't mean to blame you but the education of tz. Kwa mtu wa HGL, Law itakufaa iwapo upo committed ku practice and it's among the lucrative professional (inalipa). Zingine ni journalism, public administration, diplomacy, land management and evaluation, business related courses nk...
 
Back
Top Bottom