Ufaulu wa wanafunzi wa arts A-level unazingatiwa katika utoaji wa mikopo?

Hannat15

Member
Jul 6, 2016
33
16
Naomba msaada kufahamu mwanafunzi wa aliyehitimu kidato cha sita masomo ya arts akipata Division one kama course anayoapply si priority mkopo inakua si uhakika licha ya kuwa ana one?

Msaada plz
 
Back
Top Bottom