Baraka sheni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2015
- 471
- 197
Habari za kutwa watanzania wenzangu nilikuwa naomba kufahamishwa kwa wanao faham juu ya chuo cha NIT. Je kinatoa kozi za udereva wa magari makubwa?
Au ni chuo gn kinatoa hiyo kozi na inatumia miezi au miaka mingapi?
Au ni chuo gn kinatoa hiyo kozi na inatumia miezi au miaka mingapi?