Natafuta shule ya Private Advnced level yenye combination ya CBG

wakweetusana

Member
Feb 14, 2016
11
3
Wanajamvi habari zenu,

Natafuta shule ya Private ya Advanced Level yenye combination ya CBG kwa Ada ya chini ya Milioni moja na nusu.

Asanteni.
 
Nisaidieni shule private inayolipa ada chini ya laki 8 hata iwe ya day yenye CBG Advanced level

Niliumia sana pale nilipopata 1 kali sana ya cbg a level na kutochaguliwa md pale muhas,ile hali rafiki zangu kibao walikua na one uchwara za pcb wakaingia muhas,malengo yako ni kusomea nn labda tuanzie hapo
 
Wanajamvi habari zenu,

Natafuta shule ya Private ya Advanced Level yenye combination ya CBG kwa Ada ya chini ya Milioni moja na nusu.

Asanteni.
Habari yako kijana,kama kweli unayo nia ya kupata shule bora na sio bora shule,unaweza kunitafuta kupitia no: 0656415981,ntakusaidia!!!
 
Back
Top Bottom