mwita burure
Senior Member
- Jul 8, 2016
- 192
- 39
Habari wana jf nimehitimu kidato cha nne mwaka Jana na ufaulu wangu upo hivi DIV III 25 CIV D HIST D KISW C ENG C CHEM C PHYS D BIOS D GEO D B/MATH D je second selection lakini sizani kama ntachukuliwa pia nawaza kwenda private lakini nilitamani sana kusoma sayansi nifanyeje coz nacte wanaweza wasinichukue japo niliomba diploma in primary education ushauri pliz