Kuna tofauti gani mtu akiomba kupitia TCU na NACTE?


Hussayn yahaya

Hussayn yahaya

Member
Joined
May 12, 2016
Messages
19
Likes
2
Points
5
Hussayn yahaya

Hussayn yahaya

Member
Joined May 12, 2016
19 2 5
Naomba nijuzwe kuna utofauti gani mtu akiomba NACTE au TCU?
Na je NACTE wanaitaji watu kuanzia ngazi gani na TCU wanaitaji kuanzia ngazi gani pia?

N;B kama nimekosea sehemu nisamehe ila naomba majibu sahihi fatadhari!
AHSANTENI MUWE NA MCHANA MWEMA.
 
KINGSLEE

KINGSLEE

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2013
Messages
456
Likes
314
Points
80
Age
32
KINGSLEE

KINGSLEE

JF-Expert Member
Joined Aug 30, 2013
456 314 80
Nacte wanaRegulate NTA LEVEL 4 MPAKA 6.
YANI CERTIFICATE NA DIPLOMA

T.C.U WANAREGULATE KUANZIA FIRST DEGREE NAKUENDELEA..
 

Forum statistics

Threads 1,238,219
Members 475,877
Posts 29,313,070