habari wa jf, kwa yeyote anayejua hostel zenye rums za mtu mmoja anifahamishe Tafadhali. iwe ipo karibu na maeneo ya sinza,mikocheni, mwenge,ubungo, Bamaga, au kijitonyama. Asanteni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.