Kwanini wakufunzi wa vyuo wanalipwa kufanya majukumu yao?

bulabo

JF-Expert Member
Aug 20, 2015
620
759
Wakufunzi kutunga mitihani hawalipwi, kusahihisha mitihani wanalipwa kila paper, kusimamia wanalipwa. Swali la kujiuliza kumark na kusimamia mitihani sio moja ya kazi zao za kawaida? Inakuwaje walipwe?

Kada zingine tukifanya kazi zingine tunaambiwa ni moja ya kazi zetu. Wizara ya elimu watusaidie na kada zingine tukifanya kazi nje ya kazi zetu tulipwe.
 
Back
Top Bottom