Open University mbona siwaelewi?

NANGA WA KWATA

JF-Expert Member
Jul 8, 2016
346
232
Nilienda Open University wakaniambia niapply hapo chuoni. TCU wanasema uapply degree kupitia kwao peke yake.

Je,ni sahihi kuapply chuoni degree au nimeliwa? Au niapply TCU upya?
 
nilienda open university tawi la mwanza wakaniambia nije na vyeti original nikaenda navyo wakaviscan wakaniambia nisubiri mpaka sasa nasubiri au naweza apply na TCU pia ???
 
NILIENDA OPEN UNIVERSITY WAKANIAMBIA NIAPPLY HAPO CHUONI NA TCU WANASEMA UAPPLY DEGREE KUPITIA TCU PEKE YAKE JE ??NI SAHIHI KUAPPLY CHUONI DEGREE AU NIMELIWA ???AU NIAPPLY TCU UPYA???

hata mie niliapply open this year February hata ada ya kuunga unga halafu nimeshatoa elfu 30 ya kuapply open hawa TCU wameamua kuchenji system hakuna jinsi inabd tuapply upya
 
nilienda open university tawi la mwanza wakaniambia nije na vyeti original nikaenda navyo wakaviscan wakaniambia nisubiri mpaka sasa nasubiri au naweza apply na TCU pia ???
Sasa kama umeambiwa usubiri si usubirie!

Ukiona kimya sana nenda ADMISSION OFFICE ukaulize kwa kina.
 
Attachments

  • tcu.png
    tcu.png
    71.7 KB · Views: 51
SIFA ZA KUSOMA DEGREE NINAZO NI NINA B NA C KWENYE MASOMO YA HISTORY NA KISWAHILI ADVANCE BUT NAULIZIA NJIA SAHIHI YA KUAPPLY NI IPI THROUGH TCU AU CHUONI MOJA KWA MOJA ???
 
sasa hii mkuu wakitoa majina tcu na langu litatoka ???kwenye system
hapana, kwanza ujiulize unataka kusoma Open Uni?, pili unavigezo?. Kama hauna vigezo hawakuchukui pale. Kisha Open wenyewe wanatoa selection kwenye mtandao wao kwa Batch tofauti.
 
SIFA ZA KUSOMA DEGREE NINAZO NI NINA B NA C KWENYE MASOMO YA HISTORY NA KISWAHILI ADVANCE BUT NAULIZIA NJIA SAHIHI YA KUAPPLY NI IPI THROUGH TCU AU CHUONI MOJA KWA MOJA ???
Njia zipo za kuapply, aidha kwa manual(yaan kwa fomu) na nyengne kupitia TCU .
vyuo vingi vya Zanzibar wanapply kwa fomu na maombi ya chuo wakishayapitia wanayapeleka TCU na kuwaambia hawa ndo Wanafunzi wetu na TCU wanaconfirm tu, then kuna hiyo njia nyengne ya TCU ambayo vyuo vingi vya Tanzania vinatumia huo mfumo.
Open University kama wamekwambia hivyo basi apply wao ndo wana jukumu la kupeleka jina lako TCU na TCU watakuhakiki kama unastahili au la.
 
asante mkuu je ?? nikiapply tena kupitia tcu? nitakosea?je loan board hawatasumbua boom
 
Back
Top Bottom