Natafuta shule private (A-level) isiwe mbali na Iringa kwa masomo ya PCB

Password

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
777
1,082
Habari wana JF

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba msaada kwa anaejua shule nzuri ya private isiwe mbali na iringa yaani iwe ni mikoa jirani na iringa kwa yeyote anayeifahamu naomba anijulishe nitashukuru sana
 
Hipo shule,tena sio bora shule bali ni shule bora,kama utakuwa una nia unaweza kunicheki 0656415981,ntakusaidia.
 
Back
Top Bottom