Matumizi ya simu za mkononi Ni miongoni mwa mapinduzi makubwa ya mawasiliano hapa nchini,aidha imerahisisha hats mfumo wa utumaji wa hela miongoni mwa watanzania wengi.
Pamoja na kurahisisha mawasiliano, matumizi ya simu yamekuwa na matokeo mabaya sana hasa kwa vijana wetu waliopo Mashuleni. Vijana wengi hasa wanaosoma shule za serikali Wako huru mno katika suala la mawasiliano na umiliki wa simu!
Vijana jutumia muda mwingingi katika kuchati, kutumiana message, kudownload videos, kusilikiliza miziki nk. Hii maanake inawapunguzia uwezo wa ujifunzaji na ufahamu wa mambo anayofundishwa,aidha na umakini wakati mwalimu anafundisha.