Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Habari ndugu wana JF, Hawa nacte kweli wamezidiwa sana IT wao wameshindwa kufanya kazi walau hata "Profile" zifunguke Bora wakaazime China
0 Reactions
13 Replies
3K Views
habarn wana jamvi, mimi ni mhitimu kidato cha nne 2015 nlipata div3 lakn sikubahatika kuchaguliwa kidato cha tano. Sasa naomba kwa yeyote anaye fahamu shule private advance yenye tahasusi za...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mliosoma umbwe a'k'a mtisafi Mpo???
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimekuwa na mkanganyiko wa madaraja ya ufaulu kuanzia kidato cha kwanza mpaka cha sita. Hususan A, B, C, D, na F zinapoanzia na kuishia.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
kuna mdogo wangu kasoma CBG na ufaulu wake ni E,D,D respectively je atapata mkopo? na akasomee kozi ipi! kwa waelewa wa mambo hayo msaada tafadhali
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za muda huu wandugu? Nimekuja kwenu na jambo moja kwa ushauri zaidi..nimekuwa naona watu wengi wakiongelea kwenda Advance School na wengine kwenda Certificate chuo lakini katika kupitia...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Maisha ya mtaani na yale ya vyuoni ni tofauti sana. wanachuo wengi wakiwa wako chuo huwa kama wamefunikwa blanketi nzito. starehe kibaooo, matanuzi kibaoo, anasakibaoo! Usipojiwekea akiba na...
6 Reactions
46 Replies
8K Views
Jamani naombeni mnisaidie et post za vyuo zitatoka link maan mtaani panachosha jaman
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Nacte wametoa 1&2 selection .unaangalia kwa kupitia kwenye CAS |DIPLOMA
1 Reactions
28 Replies
8K Views
Nimemaliza kidato cha sita mwaka huu na Nina DEE katika masomo ya HGE, ndoto zangu zilikuwa ni kwenda kuchukua degree ya education lakini kwa mujibu wa TCU mwaka huu sina vigezo. Naomba msaada kwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Naomba ufafanuzi juu ya kuomba vyuo!! Nimemaliza dip mwak 2014 na overall GPA yang ni 3.7. Nishaomba mkopo Loans Board. Kama nijuavyo kwetu sisi tuliomaliza dip tunafanya maombi kupitia NACTE...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani hii bodi mimi sielewi kwanini hawajibu email zetu na hata ukipiga simu hawapokei, nini tatizo au nitumie nauli 70,000 niende Dar. Magufuli komesha hii kero.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mnamo mwezi wa tano NACTE walifungua dirisha la Udahili ambapo wanafunzi kadhaa walilipia fedha ya usajili 50000/=. Guidebook waliyoitoa NACTE iliweka GPA 2.7 kama kiwango cha mwisho cha ufaulu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hongera kwa mwanafunzi Haika Dismass massawe kutoka shule ya Majengo secondary, kwa kuwa mwanafunzi bora kwa mkoa wa kilimanjaro. Amepata matokeo ya Div 1 point 5, Huku akiwa na A ya hesabu. NI...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Kila mtanzania anaongea lake na kulia kivyake huyu analia ajila zimefungiwa , yule analia kafoji vyeti, Wanunuzi wanalia pesa hakuna , wafanyabiashara wanalia wateja hakuna, huyu analalamika...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa anaefahamu kazi zipi zinazofanya Na mtu aliesomea monitoring and evaluation.Na Kuna muundo wowote kwa Utumishi wa umma?.
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Eti naomba kuuliza kama mtu amekosea kuomba mkopo bodi ya mikopo may be amekosea number ya mtihan kuna uwezekano wa kuedit tena? hilo moja na mbili ni kwamba kuomba mkopo kwa mwanafunzi bodi ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwanza Kabisa Natanguliza Shukurani Zangu Zote Kwa Wadau Wa JF. Ni Masikitiko Makubwa Kwa Wazanzibari Wanaoshuhudia Elimu Ya Visiwani Zanzibar ikiwa Tayari imeshazikwa Kutokana Na Chuki Za...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenu wanajamii, Nashawishika kuuliza hivi kweli inawezekana na ni sheria au ruhusa kwa mtoto kurudishwa nyumbani na kukosa mitihani kwa kuwa mzazi hajalipa ada? Na ikitokea mtoto anekaa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom