Kuna uwezekano wa kuedit fomu ya kuomba mkopo?


P

pakinism

Member
Joined
Jun 22, 2016
Messages
10
Likes
0
Points
3
Age
27
P

pakinism

Member
Joined Jun 22, 2016
10 0 3
Eti naomba kuuliza kama mtu amekosea kuomba mkopo bodi ya mikopo may be amekosea number ya mtihan kuna uwezekano wa kuedit tena? hilo moja na mbili ni kwamba kuomba mkopo kwa mwanafunzi bodi ya mikopo mwisho lini?
 
SniperBoi

SniperBoi

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2016
Messages
1,111
Likes
1,098
Points
280
SniperBoi

SniperBoi

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2016
1,111 1,098 280
piga namba zao wakupe msaada kijana
 
Mad Max

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Messages
3,732
Likes
770
Points
280
Mad Max

Mad Max

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2010
3,732 770 280
Hivi mnaanzaje kukosea? Mnajaza huku mnachat WhatsApp au Mnasikiliza Music?

Deadline Tarehe 31 July.

Piga simu zao wanaweza ku edit wao tu.'Wewe hauwezi
 
Deusdedith Boniphace

Deusdedith Boniphace

Member
Joined
Jul 13, 2016
Messages
9
Likes
4
Points
5
Age
26
Deusdedith Boniphace

Deusdedith Boniphace

Member
Joined Jul 13, 2016
9 4 5
Hyo had uwacheki loan bod wenyewe na kuhusu tarehe ya mwisho ni the 31/07
 

Forum statistics

Threads 1,236,300
Members 475,050
Posts 29,253,365