Gwakisa George
Member
- May 26, 2013
- 67
- 14
Nimemaliza kidato cha sita mwaka huu na Nina DEE katika masomo ya HGE, ndoto zangu zilikuwa ni kwenda kuchukua degree ya education lakini kwa mujibu wa TCU mwaka huu sina vigezo. Naomba msaada kwa yoyote anayejua procedure za kuaply education diploma katika vyuo vya serikali ili angalau ndoto zangu zisizime kabisa. Msaada please