AGAPE BOY Senior Member May 24, 2015 194 159 Jul 17, 2016 #1 kuna mdogo wangu kasoma CBG na ufaulu wake ni E,D,D respectively je atapata mkopo? na akasomee kozi ipi! kwa waelewa wa mambo hayo msaada tafadhali
kuna mdogo wangu kasoma CBG na ufaulu wake ni E,D,D respectively je atapata mkopo? na akasomee kozi ipi! kwa waelewa wa mambo hayo msaada tafadhali
S sam97 Member Feb 27, 2016 97 14 Jul 17, 2016 #2 dah mpe ongera mdogo wako..... wangojee wakubwa watakueleza vizuri