Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Habari wakuu, Naomba kuuliza, je mwalimu akienda masomoni mshahara wake atakuwa hapokei (hauflow)? Asanteni
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hivi kwenye mkoa tajwa hapo juu kuna hilo darasa kweli? Naombeni msaada!!
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu mimi nmehitimu cha sita kwa mchepuo wa PCB na kupata : Physics E Chemistry D Biology D G/S S BAM E. Nina ndoto ya kusoma course za afya hasa udaktari...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu matokeo ndio hivo yametoka na mdogo wangu kasoma kwa shida sana.Na kapata div 3 ya point 13 ana Physics&Math E,Chemistry ana C. Na vigezo vya kuja chuo angalau ni D mbili.Uwezo wakumpeleka...
3 Reactions
106 Replies
11K Views
Anayetaka aende chuo kikuu asome kwa bidii na ajitume ili akidhi viwango vilivyowekwa na TCU. Haiwezekani mlalamike kwamba iachwe nafasi kubwa ili mpite tuu bila kuwa na ufaulu bora eti kwasababu...
12 Reactions
58 Replies
10K Views
Habari zenu ndugu, let's me stick at the point me Ni mhitimu wa kidacho cha 6 mwaka huu nimepata alama za DEE sasa hapo nafikiria kukata rufaa katka somo1 ambalo nahakika nalo kabsa naombeni...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
habari za majukumu wana JF Nimesom certificate ya ualim wa shule ya msingi lakini kwenye upande wa shule za kiingereza,lakini nina wazo la kubadili kozi kati ya -banking and finance -accountant...
0 Reactions
2 Replies
732 Views
Habari za kazi, Hivi ni lini serikali itatoa majibu ya moja kwa moja kwa wanafunzi wa program maalumu ya ualimu wa Sayansi na Hisabati waliondolewa katika Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)? Maana mpaka...
5 Reactions
55 Replies
7K Views
Kipi kita tumika kulipia ile 30000 ya HELSB na kuombea mkopo kwenye Olas?
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Ndugu wana JF nina mdogo wangu kapata C tano za history, civic, chem, bios, na geog D 3 za eng, kisw na physics na F ya math. Na shule yao ina division two mbili na three 7 four 96 na zero 65...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Swali langu nikwamba matokeo yako yakiwa suspended na necta je! utakuja yapata au ndio wameshakufutia?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa waliosoma hii kozi waje watujuze tafadhali. Mimi nimemaliza form 6 na nimefaulu vyema tu, combination ni HGL. Je ninaweza soma kozi hii?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama serikali ina nia njema na elimu ya Watanzania basi ipandishe kiwango cha ufaulu kutoka Shule ya msingi kwenda sekondari na kutoka Kidato cha nne kwenda kidato cha tano. Kwa...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Zifuatazo ni priority courses zilizotolewa 100% loans na bodi ya mkopo kwa bachelor degree 1.kozi zote za afya (MD, PHARMACY, NURCES, SURGERY, NK) 2 . civil and irrigation /water resources and...
1 Reactions
45 Replies
7K Views
Wakuu ni binti wa kutoka familia duni kabisaa haelewi cha kufanya.Wazazi wake wamejitahidi kwenye shule za kata,binti amepata div 3-15 ya CBG,ana D moja.Haelewi afanye nini,sielewi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani naulizia mwenye uelewa na cutoff za kuingia Makerere University.Nina mdogo wangu ana division III point 16 ACSEE mwaka huu , Chem =E, Bios =E na Phy=S. Mwenye uelewa nauliza kama...
0 Reactions
27 Replies
6K Views
Naomba msaada wa tcu guide book y a 2016/17 kwani kesho aplication zinaanza
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Wakuu nimepata div 3-15 . Nlikua nachukua PCB na nimepata SED respectvly . Je ntaweza kwend chuo kwel ama niangalia michongo mingin
0 Reactions
2 Replies
791 Views
kwa anayekifahamu hiki chuo naomba ufafanuzi
1 Reactions
7 Replies
6K Views
Tusikate tamaa,Tuelekezane ni vipi tunaweza kuomba stashahada ya ualimu au polisi. Je ni vigezo gani vinahitajika? Karibu...
4 Reactions
66 Replies
9K Views
Back
Top Bottom