TAECOLTD
JF-Expert Member
- Mar 2, 2013
- 1,051
- 1,835
Habari za muda huu wandugu? Nimekuja kwenu na jambo moja kwa ushauri zaidi..nimekuwa naona watu wengi wakiongelea kwenda Advance School na wengine kwenda Certificate chuo lakini katika kupitia kwangu threads nyingi sijaona mtu akigusia suala la kukunja kona na kufanya mitihani ya bodi. Nimefuatilia zaidi na kufahamu kwa ufupi kuhusu bodi ya procurement iliyopo kurasini ambapo kutokana na vigezo vyao ni kuwa
1) Mwanafunzi aliyemaliza form four na ufaulu anaweza soma na kufanya mitihani ya bodi kwa kuanzia Basic Stage one na two ambapo akimaliza ni kama anakuwa sawa na aliyesoma certificate na anaruhusiwa na kutambuliwa na chuo chochote.
2) Mwanafunzi aliyemaliza form six na ufaulu anaweza soma na kufanya mitihani ya bodi kwa kuanzia foundation one na two ambapo akimaliza ni kama aliyesoma Diploma na anatambuliwa na vyuo vyote na anaweza kujiunga degree kokote
3) Mwanafunzi aliyemaliza degree anaweza kufanya mitihani ya bodi stage five ya mwisho kutegemeana na degree yake aliyosoma kisha akatunukiwa cheti cha bodi kama CPSP...
Sasa concern yangu ni namba mbili kwa Mwanafunzi wa form six. Kwanini haizungumziwi sana na je ninaweza kusoma hiyo mitihani na kusonga mbele na kama yupo aliyesoma hiyo foundation one na two afafanue changamoto na faida za kufanya mitihani hiyo?!
Asanteni na ninakaribisha michango yenu...!!!