mwanamabadiliko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 903
- 1,474
Hongera kwa mwanafunzi Haika Dismass massawe kutoka shule ya Majengo secondary, kwa kuwa mwanafunzi bora kwa mkoa wa kilimanjaro. Amepata matokeo ya Div 1 point 5, Huku akiwa na A ya hesabu. NI wanawake wachache sana mwaka huu walioweza kufikisha angalau div one ya point 9. Alikuwa mwanafunzi wa EGM. Hivi ndo vichwa tunavoitaji, Mhasibu wa BOT wa baadae, Hongera sana