Kazi zipi hufanywa na wataalamu wa Monitoring and Evalution?

Dhwahiri

Member
Jun 20, 2016
16
5
Kwa anaefahamu kazi zipi zinazofanya Na mtu aliesomea monitoring and evaluation.Na Kuna muundo wowote kwa Utumishi wa umma?.
 
Hiyo ni sehemu ndogo ya statistics, kwa hiyo m&e inajichambua yenyewe kwamba hiyo ndiyo kazi yenyewe. Ni kwa mfano ukiulizwa mhasibu anafanya kazi gani, simple inaeleweka. Monitoring & Evaluation ni cross cutting job, kila sehemu penye utekelezaji wa kitu lazima m&e ingie.
 
Kazi zote za miradi/projects/program ya aina yoyote ile mtu wa M&E anahitajika...

Tena kwa sasa miradi yote ya social sciences lazima awepo mtu wa M&E...

M&E ni management tool. Ilianza kutumika polepole miaka ya 2003, ila kwa sasa ni management tool ambayo ni muhimu sana sana katika kuendesha na kusimamia miradi katika jamii
 
Utumish haipo...ili afaa sana watu walio soma Project plannning, management and community development.....mfano degree zake hutolewa mzumbe, udom, mipango nazan udsm nao walikuwa wanaianzisha. Ila kupata kaz serekali ni ngumu sababu kwenye muundo haipo
 
Back
Top Bottom