Suala la mwanafunzi kurudishwa nyumbani kwa kukosa ada liko vipi?

Abby Senior

Senior Member
Feb 14, 2015
154
60
Habari zenu wanajamii,

Nashawishika kuuliza hivi kweli inawezekana na ni sheria au ruhusa kwa mtoto kurudishwa nyumbani na kukosa mitihani kwa kuwa mzazi hajalipa ada? Na ikitokea mtoto anekaa nyumbani muda fulani na baadae mzazi akalipa ada baadae, je masomo aliyoyakosa mtoto na mitihani na athari zote inakuwaje.

Nawasilisha kwa mawazo zaidi.
 
Kimsingi sio vyema mtoto akakosa masoma kwa mda mrefu hua inarudisha nyuma sana na inabidi mzazi uhakikishe ana copy notsi zote,na anafanya home work etc!Bora hata ukope ili madogo wasome
 
Back
Top Bottom