Richard Elibarick
Member
- Apr 26, 2016
- 54
- 7
habarn wana jamvi,
mimi ni mhitimu kidato cha nne 2015 nlipata div3 lakn sikubahatika kuchaguliwa kidato cha tano.
Sasa naomba kwa yeyote anaye fahamu shule private advance yenye tahasusi za sayansi kama PCB, CBG yenye ada nafuu chini ya lak 9 hatakama haifanyi vzr ktk result nisaidieni, matusi sitaji.