JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
I am just wondering why guys always think about sex? just wondering........ http://www.psychologytoday.com/blog/you-it/201106/do-men-really-think-about-sex-more-women
1 Reactions
34 Replies
3K Views
hii foto nimeioa some where cjabilivu mai aizi kumbe ndio mana wanatetea ujinga loh!
1 Reactions
37 Replies
8K Views
Nipo Mtekenyo bar naendelea kupiga kitu cha Castle Lager mara anakuja dada mmoja wa kiarabu na kukaa na mimi na kuanza kuniagizia bia kwa kwenda mbele. Nifanyeje ili kumkimbia kwasababu nahisi...
0 Reactions
41 Replies
7K Views
Jamani mwenzenu kuna house girl nampenda sana ila naona aibu kuweka wazi kwa marafiki zangu sababu tu ni hgirl?niweke wazi au niende kimyakimya tu?wadau?
0 Reactions
19 Replies
2K Views
IVI KUNA WATU WANAFANYA YAFUATAYO. 1. WANAOMBA MUNGU KABLA YA KUMEGA TUNDA NA WAKIMALIZA WANAMSHUKURU PIA. 2. WANATUNZA RECORD KILA WAKIKUTANA KIASI KWAMBA WANAWEZA KUJUA TOKA WAANZE WAMENANIHI...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wana JF. Naombeni mnisaidie jinsi ya kupata awa wanyama Simba na Tembo. Nipo radhi kutoka kiasi chochote cha pesa, lakini sitaki wa wizi naombeni mnisadie wana JF wenzangu. Mwenyewe kujua...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Kwa taarifa yako............... Kabila linaloongoza Kwa kuwania madaraka hasa ya Urais Ni Wachagga!! idadi ya watu waojifanya wamesoma na kikwete na wanafahamiana nae imeongezeka kwa asilimi 98...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wateja wawili wakiwa hotelini wakisubiri huduma. [WAITER];Hello,naweza kuwahudumia? [MTEJA WA 1];Niletee juisi ya parachichi. [MTEJA WA 2];Nami pia nahitaji juisi ya parachichi,ila glasi iwe safi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Teh teh teh teh . michezo gani mnakumbua ya utotoni. Kuna ule mchezo wa Nasaka mke wangu naska mke wangu...... A anasema : Nasaka mke wangu nasaka mke wangu uuuuuu B wanajibu : Hapa hayupo...
0 Reactions
38 Replies
6K Views
Hivi karibuni ndugu zetu waislamu waliadhimisha sikukuu ya idd mubarak ijulikanayo kama sikukuu ya kuchinja. Kila msikiti ulichinja na kugawa nyama kwa wahumini wao. Kero imekuja baada ya baadhi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nimepata mwaliko wa mtoko weekend hii kutoka kwa kijana aliyekuwa akinitupia nyavu siku nyingi kidogo. Ni takriban miezi nane sasa tangu nitemane na my BF, baada ya kunitenda. Sasa nimeona nitoke...
1 Reactions
284 Replies
20K Views
Unahisi girl/boyfriend wako ana mshikaji wa pemben. unambana akuambie ni nani. anakujibu, 'JE KAMA DINGI YAKO?'
0 Reactions
9 Replies
2K Views
ndani ya chumba cha mtihani,, pepa ndo imeshakugonga....... lecturer anaekusimamia juzijuzi 2 ametoka kugundua kuwa unamnyokoa binti yake
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Msomaji wa uzii huu picha yako nimeiona katika kipindi cha kumbukumbu tbc,cha watu ambao walikwisha fariki sasa sina uhakika kama ni wewe ,ila kama siyomewe nisamee kumbe duniani ni...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Tunapoelekea kufikisha miaka 50 tangu Uhuru wa Nchi hii, hebu tukumbushane matukio/jambo/suala/picha/kituko/vimbwanga iwe katika nyanja ya Burudani, Starehe, Michezo, kijamii ambayo kwa akili ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mchaga na mpemba wote wafanya biashara wakiwa moro ktk mnada walibook chumba kimoja gesti kwa kuwa kote kulijaa...huku kila mmoja akikaa ktk pembe ya kitanda na kumtolea macho mwenzie....mpemba...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Tangu vita ya kumng'oa Gaddafi ianze na hatimaye kumuua sijawahi kusikia mke wake akitajwa au hakuwa na mke?
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nina mpango wa kubadili ID yangu ya Mwita25 kwasababu imekaa kishamba sana. Kwahiyo, ukiwa mpiganaji mwenzangu, naomba ushauri na maoni yako juu ya jina jipya linalofaa. Mchango wako ni muhimu...
0 Reactions
84 Replies
6K Views
Nina balaa gani kiumbe cha Mungu miee manake kila thread ninayoanzisha inaishia kupotezewa tu? Mweeee
0 Reactions
121 Replies
7K Views
Hili kwanja lilitesa sana 1995! I thought (and I still think) the video was amazing. Adina really hit a home run with this one. Too bad she ended up being a one hit wonder. In my opinion she is...
1 Reactions
1 Replies
878 Views
Back
Top Bottom