Kwa taarifa yako

Kwa taarifa yako

actus

Senior Member
Joined
Oct 7, 2011
Posts
104
Reaction score
24
Kwa taarifa yako...............
Kabila linaloongoza Kwa kuwania madaraka hasa ya Urais Ni Wachagga!!
idadi ya watu waojifanya wamesoma na kikwete na wanafahamiana nae imeongezeka kwa asilimi 98
kwa taarifa yako, walevi wa bia ndio watu wapatao maendeleo kwa haraka kuliko wasio kunywa(jitie ujinga uanze kunywa uone utakavyopigika)
kwa taarifa yako Kabila linaloongoza kwa wanawakewenye makalio makubwa kupitiliza ni lile la ki-Xhosa la afrika ya kusini.unabisha nenda ukajionee.
Kwa taarifa yako mashoga wengi waishio mjinidar wanaishi maeneo ya kinondoni.kwanini huko? 2jihoji Je ni kutokana na wingi wa wateja au ni nini?
Kwa taarifa yako wanawake wanaojua mapenzi ni wamakonde. Mapenzi yapi???Jihoji!!!
Kwa taarifa yako asilimia kubwa ya wanawake wa marangu moshi ni wachoyo wa chakula
Hata gari lijaee vipi dereva hakosi nafasi ya kukaa.
wanawake wengi wa kibongo walioko u.s.a wanaolewa na kutesa na wanaume wa kiwest Africa zaidi ya wabongo kwa kuwa wabongo wengi ni wasanii longolongo
wanaume wahuni ndio wanaopendwa na wanawake wengi...nandio wenye bahat ya kupata wanawake wazuri
mji wa Milton Keynes nchini UK ndio unaongoza kwa wabongo wanaondeleza tabia za kibongo, majungu, umbea n.k
Kwa taarifa yako wenye vitambi si wote wana kazi nzuri au wanakula vizuri wengine ni wagonjwa tu.
Kwa taarifa yenu Wapemba wanaongoza popote pale duniani kwa kuchukuliana wanawake na kujisifu"Aka wajua eh nshanchukua nke wa fulani"
kwa taarifa yako wanawakwe wa kibongo wanaongoza kwa mavutu (mahag) east africa
majina ya mabara yote kwa kiingereza yanaishia kwa herufi sawa na ya mwanzo
kwa taarifa yako,watu wengi hubeba condomu ushahidi,hawazitumi.
Bongo itakuwa ulaya miaka mitano ijayo!(aaaaah aaaah)
 
Hiyo ya wabeba condom.! Habari ya wamakonde naisikia, ngoja nimtafute m1 ni prove.
 
Kwa taarifa yako kabila la wahehe ndio wanaongoza kwa hasira. Hebu jaribu ukimuuzi sana anajinyonga.
 
Kwa taarifa yako wilaya inayoongoza kwa kuwa na watu mbumbumbu (wasio na uelewa) ni Bagamoyo na mkoa unaoongoza ni Pwani!
 
Daaar..
Kwa wapemba,mim sina cha kusema..
Ila kwa habari ya condom,weng wamerudi nazo mfukoni...
 
Back
Top Bottom