My wife wa hayati kanali gaddafi

COMPLICATOR2011

JF-Expert Member
Jul 13, 2011
254
35
Tangu vita ya kumng'oa Gaddafi ianze na hatimaye kumuua sijawahi kusikia mke wake akitajwa au hakuwa na mke?
 
Mkewe alitajwa na alikuwa kwenye picha; Alikuwa na wake wawili

Wa kwanza alikuwa na Mtoto Mmoja na Wa pili ndiye mke mkuu alizaa nae hao watoto wote 8

Yeye huyo Mwenye watoto 8 kakimbilia Algeria pamoja na mtoto wake wa kike, wavulana 2 na mtoto wa kiume wa mke wa kwanza; mke wa kwanza alikuwa na mtoto mmoja tu nae.
 
Heading yako imeanza kwa dhihaka ilihali ukiwa kwenye jukwaa lisilo la dhihaka...well perhaps siasa ni dhihaka!...ni imani yangu kua unafahamu kua alikua na mke ndiyo maana akazaa watoto ila kwa kusahau au kwa kuamua kucomplicate as jina lako linavyosomeka ukaamua kuchakachua umakini wako mwenyewe!
 
wewe ni mvuvi wa kufuatilia mambo madogo makubwa je. vyombo vya habari vimetangaza mpaka sasa nimemsikia mke wake mmoja sina hakika kama alikuwa na wake wengi
 
nenda katengeneze akiliyako kwa fundi mchundo. kichwa habari ni cha kumkejeri Gadaff itakusaidia nini?
 
Mkewe alitajwa na alikuwa kwenye picha; Alikuwa na wake wawili

Wa kwanza alikuwa na Mtoto Mmoja na Wa pili ndiye mke mkuu alizaa nae hao watoto wote 8

Yeye huyo Mwenye watoto 8 kakimbilia Algeria pamoja na mtoto wake wa kike, wavulana 2 na mtoto wa kiume wa mke wa kwanza; mke wa kwanza alikuwa na mtoto mmoja tu nae.
Asante sana ndugu yangu watu wengine humu Jf si binadamu kabisa.
 
wewe ni mvuvi wa kufuatilia mambo madogo makubwa je. vyombo vya habari vimetangaza mpaka sasa nimemsikia mke wake mmoja sina hakika kama alikuwa na wake wengi

hiyo red ina maana mvivu?
na wewe utakuwa mvivu wa kutokuwa makini!
 
aliachana na mkewe mkubwa baada tu ya miezi 6 ya ndoa kisha akamuoa huyo wa pili ambaye alikuwa nae hadi mauti ilipomfikia. nadhani anaitwa faidha huyu wa pili
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom