mysteryman
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 1,080
- 395
Mchaga na mpemba wote wafanya biashara wakiwa moro ktk mnada walibook chumba kimoja gesti kwa kuwa kote kulijaa...huku kila mmoja akikaa ktk pembe ya kitanda na kumtolea macho mwenzie....mpemba akijisemea kimoyomoyo huku kashika fuko lake la hela ''hawa kina masawe nsikia wapenda sana pesa hawa, hapa halali ntu hapa''....mchaga nae huku akijaladia suruali na kufunga mkanda vizuri kimoyomoyo ''hapa babangu hakuna kulala mana hawa jamaa wa kule fisiwani kukufi..ra ni dakika tu... na kujikuta wakitazamana mpaka asubuhi bila hata kusinzia