Jamani huu ni msala ambao nimeingia yaani ninajuta.Kweli huyu binti nilimpenda saana mpaka tumefanya ngono kama wk tatu zimepita,jana kaja nakuniambia ana mimba na kweli mimba anayo lkn binti huyu...
Jamani e,me nna swali eti zipi qualification zinazomfanya mtu kuwa moderator??.Kama vipi kuwe na uchaguzi kabisa na watu wagombee isije ikawa watu wanapewa umoderator kwa upendeleo.
ps:msininukuu...
Sio kama napenda wikendi ifike ili nisifanye kazi, ila wikendi ndio wakati ambao tunapunguza sarakasi za nchi hii. Kwa mfano wiki hii imekuwa na sarakasi nyingi kwenye hii episode mpya ya...
Sijapata kuona,kuna mtoto yuko nzega ana umri wa miezi saba,cha kushangaza huwa alali mpka kuwe na kelele zwe za redio au umpeleke baa,sasa kwa bahat mbya jana kaugua alvyolekwa hosptal kulazwa...
jamaa mmoja alikuwa anataka kuwa Lion Tamer (mchezo fulani wa kucheza na simba kwenye maonyeso)
rafiki yake akamuuliza,
basi ilikuwa hivi
rafiki: je simba akiangusha ile stuli ndefu wanayopanda...
Katika bus mama mmoja altaka kumnyonyesha mtoto, mtoto akakataa, mama akamwambia 'nyonya km hutaki nampa anko anyonye' anko ni kaka mmoja ambae ni abiria aliekaa pembeni na huyo mama ,mtoto...
Jamaa m1 alikuwa anatembea na mke wa jirani,siku 1 mke wa jirani akamuita jamaa mida ya ucku ili wafanye matusi kwa sababu mumewe hakuwepo,wakati wanaendelea ku duu,jirani akarudi akawa anagonga...
Jamaa wanajifanya kwamba kuna mtu wa ulaya sijui ana matatizo atakufa baada ya muda kwa kansa
anataka fedha zitumike hivi na vile amekuchagua wewe uidhinishe matumizi ya fedha hizo kana kwamba...
Wakuu haya mambo ni kweli? kwamba watz watapimwa afya na kugongwa nembo ya tbs ! Habari hizi zimeenea sana hapa samunge. Eti, watanzania wengi afya mgogoro ndio maana wanajaa; loliondo, vituo vya...
Haya mambo strolling na step shows nayamiss sana. Kwa kweli yana raha zake mtu ukiwa bado uko college. Furahia hizi strolls za AKA...
Alpha Kappa Alpha (2nd Round): 2010 Stroll Fest - YouTube...
Nimepita kituo cha daladala mida ya jioni na kuona makundi makubwa ya watu wakisubiri usafiri. Nikawaza hawa watu wote wanahitaji chakula na sehemu ya kulala.
Imenifanya nikajiuliza, je kama kabla...
Dear Mr.BillGates
This letter is from Masawe of Kibosho Moshi.
We have bought a computer for our home and we found problems, which I want to bring to your notice.
1. After connecting to...
I am just wondering why guys always think about sex? just wondering........
http://www.psychologytoday.com/blog/you-it/201106/do-men-really-think-about-sex-more-women
Nipo Mtekenyo bar naendelea kupiga kitu cha Castle Lager mara anakuja dada mmoja wa kiarabu na kukaa na mimi na kuanza kuniagizia bia kwa kwenda mbele. Nifanyeje ili kumkimbia kwasababu nahisi...
Jamani mwenzenu kuna house girl nampenda sana ila naona aibu kuweka wazi kwa marafiki zangu sababu tu ni hgirl?niweke wazi au niende kimyakimya tu?wadau?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.